Hivi kwanini makabila ya watu yaliyompakani/ mikoa kwa Nchi yetu wengi wako vizuri sana kichwani, majasiri, watafutaji na wasioyumbishwa?

Mbuzi mee

Senior Member
Joined
Dec 29, 2022
Posts
156
Reaction score
217
Chunguza mikoa yote ya mipakani utapata majibu hayo, hata uje kwenye uongozi utaona utofauti wakishika watu hawa..
 
Wadigo !πŸ˜…πŸ˜…hapa 50% ni wakenya
 
Mara nyingi changamoto ndo huwa zinamkuza mtu ,Binaadamu Hakui katika mazingira salama,Bali Binaadamu Hukuwa mahali penye misukosuko na Changamoto
 
Kama tunduma,sababu ni mwingiliano na watu wa mataifa jiran,wanapata exposure fulan.
 
Kama Ni hivyo wahaya wasingekuwa nyuma kimaendeleo kiasi hicho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…