Hivi kwanini makolo wakishinda fujo ni nyingi sana mjini

Street brain

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2022
Posts
584
Reaction score
767
Aisee, hawa Makolo kwanini wakishinda fujo ni nyingi town but young africans hatunaga huo ushamba,, yaani tunafanya slow but sure 🤣🤣 sisi ndio vidume sasa
Narudia tena SISI NDIO VIDUME
 
Sina nnacho wadai Simba penalties hazinaga mwenyewe mzee utopolonian najua mna jikosha tu na kuibeza hii game ila najua mioyoni mwenu mnajua Simba kacheza na kajikaza.

Mashabik wa simba wanavyo sema wamekufa kiume nakumbuka kuna jamaa mmoja alifumwa na mke wa mtu wahuni wakapasua spika asa wana wakawa wakimuuliza oya hawajakufanya chochote mwana anajibu wamenifir* ila kwa tabu sana [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahaha
 
Sasa kwani uongo mzeee kupambana timu imepamvana labda kama huna macho haukuona kutoka kwa penat ni kitu pekee kilicho dhihirisha kuwa Simba kapigana sana.
 
Kila lakheri watani kombe ni lenu sisi tumeshindwa hongereni mnavuka nusu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…