Hivi kwanini masikini ndio wanaoota ndoto za ajabu na makorokoro mengi?

Hivi kwanini masikini ndio wanaoota ndoto za ajabu na makorokoro mengi?

Top Gun

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2024
Posts
257
Reaction score
860
Sijawah kusikia tajiri kasema ameota amerudi kwa bibi kula kisamvu kilichonganywa na togwa😂😂

Wala haujarogwa, ni akili yako ina reflect tabu zako za maisha yako asilia😂😂
 
Umejuaje? Au huwa matajiri na masikini wanakusimulia ndoto zao?
 
Kuna tajiri aliota anakimbizwa na kasongo yeee
 
We ushasikia story za matajiri wakiota ndoto zao?
 
Back
Top Bottom