Hivi kwanini masikini ndio wanaoota ndoto za ajabu na makorokoro mengi?

Top Gun

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2024
Posts
257
Reaction score
860
Sijawah kusikia tajiri kasema ameota amerudi kwa bibi kula kisamvu kilichonganywa na togwa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Wala haujarogwa, ni akili yako ina reflect tabu zako za maisha yako asilia๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Umejuaje? Au huwa matajiri na masikini wanakusimulia ndoto zao?
 
Kuna tajiri aliota anakimbizwa na kasongo yeee
 
We ushasikia story za matajiri wakiota ndoto zao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ