Hivi kwanini matajiri wakubwa hapa Tanzania ni wahindi na waarabu tu?

Ngozi nyeusi, ni ngoma, ngoma, uchawi na ubinafsi(mzazi anajijali yeye na mahela yake), kamwe hatuwezi fanikiwa
 
Umashaka wa utajiri wa Mufuruki unatokana na nini hasa
 
Nilikuwa na wazo la kuzitumbua mali zangu peke yangu kisirisiri, hii ni kutokana na ndugu zangu hawakuwa na nia nzuri na mimi, lakini kwa darsa ulilotupatia mkuu 454, kuanzia leo mali zangu nitafikiria zienee ukoo mzima ili ziendelezwe vizazi na vizazi.
 
Kuwa tajiri katika nchi hii...lazima upate BARAKA kutoka CCM...

Ndio maana R.Mengi anapigana Vikumbo na Utawala...
 
waswahili hatupendi kuzidiwa ndo maana mtu akipata hela hawez kumsaidia ndugu yke hofu ni kwamba anaeza akamzidi mafanikio na hii ni roho mbaya unakuta mtu alikua ana kazi nzuri tu akianguka yeye basi na familia yke yote chalii hajaacha kitu chochote cha maana cha kuisaidia hta familia yke zaidi ya pension
 
Mhindi anaishi Kariakoo
Sisi Tunajenga Mbweni au Bunju na gari la thamani sawa na nyumba ya kariakoo (apartmetn) wao wananunua na kupunguza zile fujo za kusafiri kila siku kutoka mbali
Wanafanya hivyo kwakuwa hapa sio kwao. Nyumbani kwao ni India ambapo wana majumba makubwa kuliko haya yenu.
Sisi watanzania hapa ni kwetu ndo maana tunajenga nyumba popote pale.
Huwezi ishi kwa kuiga wakati wao wanajisitiri kwa muda badae wanaondoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…