The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,242
- 45,930
Ongezea na mchinaWahindi na waarabu + Mchaga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ongezea na mchinaWahindi na waarabu + Mchaga
Chenge mbona siyo muhind wala mwarabu?
Wakurya Tajiri wao wanaemuogopa ni mwenye ma bus ya ZAKARIAMbona Mimi Ni mkurya?
Kwani unadhani huyo ana hela ya kuitwa tajiri mjini hapa.Chenge mbona siyo muhind wala mwarabu?
Chenge mbona siyo muhind wala mwarabu?
Thats for sure boss.Chenge has Cash. He doesn't have money! Wenye akili kubwa wamenielewa......in le mutuz voice...
Hujui mengi na akina ngowi ni wachagga?Lkn hawapo kwenye list ya matajir
Nilikuwa na wazo la kuzitumbua mali zangu peke yangu kisirisiri, hii ni kutokana na ndugu zangu hawakuwa na nia nzuri na mimi, lakini kwa darsa ulilotupatia mkuu 454, kuanzia leo mali zangu nitafikiria zienee ukoo mzima ili ziendelezwe vizazi na vizazi.Kingine ni wao ni watu wa mawazo chanya muda wote hawakatishani tamaa hata mara moja na wanashauriana mazuri na hawafanyi maamuzi mpaka wawashirikishe babu zao au baba zao au wakubwa zao walioanzisha ile biashara ila sisi Waafrica ni kinyume chake
Sent from my HUAWEI Y625-U32 using JamiiForums mobile app
Kina shirima huwaoni auLkn hawapo kwenye list ya matajir
Angalia Maduka ya wahindi yani nini milangoni,kwa nini hawaweki pesa Benki?sisi tunatafunana wenyewe kwa riba za kishetaniUmeongea akili sana yaani...
Kapigishwa magoti na Maskini,ImagineTatizo viongozi wakimuona mtu mweusi Tajiri wanaanza kumdidimiza u ategemea nn? Mwangalie Rugemalila
Wanafanya hivyo kwakuwa hapa sio kwao. Nyumbani kwao ni India ambapo wana majumba makubwa kuliko haya yenu.Mhindi anaishi Kariakoo
Sisi Tunajenga Mbweni au Bunju na gari la thamani sawa na nyumba ya kariakoo (apartmetn) wao wananunua na kupunguza zile fujo za kusafiri kila siku kutoka mbali