YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Hivi kwa nini mikutano ya kampeni watu hufurika mno hasa vijana lakini ukienda vituo vya kupiga kura huwaoni.
Yaani huo umati unaouona kwenye kampeni kama wote wangekuwa wanaenda kupiga kura vituo vya kura vingezidiwa.
Lakini hakuna ukienda vituoni unashangaa kukuta wengi ni watu wazima na vituo vingine unakuta saa sita tu mchana hamna watu wameshaisha.
Hiyo mikutano ya kampeni huwa wanafuata nini wakati Siku ya kupiga kura hawaendi.