Uchaguzi 2020 Hivi kwanini mikutano ya kampeni watu hufurika mno hasa vijana lakini ukienda vituo vya kupiga kura huwaoni

Baada ya box la kura kinajisiwa na ccm na kuwa halitoi matokeo ya halali, wapiga kura wengi wameamua kulipuuza.
Sasa kwenye mikutano wanafuata nini kama kupiga kura wamepuuza? si wangepuuza na hiyo mikutano maana wanapigwa na jua na kunyeshewa na mvua kwenye hiyo mikutano wakati kumbe hawana hata mpango wa kuchagua kiongozi yeyote.
 
Itapatikana njia nyingine ya kupata viongozi, hiyo ya kura inapotezea watu muda. Nadhani machafuko ndio njia inayorudisha heshima ya box la kura.
 
Kwa hiyo wewe unashabikia machafuko?
 
Kweli JPM ni kiboko yenu tangu wakati ule wa Magufuli nchi imemshinda hadi leo mazungumzo yenu staili ni hii hii tu.
 
Kwanza ilikuwa chama fulani kimekufa, baadae ikaja hakina sera hakiwezi kupata watu kwenye kampeni, baadae ikaja hizo picha ni za 2010 na 2015, sasa imekuja kwanini wanajaa sasa hivi na siku ya kupiga kura hawataenda. Anyway yote maisha tu mkuu.
😅😅😅✌️✌️✌️✌️✌️✌️
 
Sasa kwenye mikutano wanafuata nini kama kupiga kura wamepuuza? si wangepuuza na hiyo mikutano maana wanapigwa na jua na kunyeshewa na mvua kwenye hiyo mikutano wakati kumbe hawana hata mpango wa kuchagua kiongozi yeyote.
Hili swali waulize wale wa Fiesta mkuu?
 
Itapatikana njia nyingine ya kupata viongozi, hiyo ya kura inapotezea watu muda. Nadhani machafuko ndio njia inayorudisha heshima ya box la kura.
Hao wa kufanya machafuko ndio hawa wanaojazana kwenye mikutano ya ccm bila kujali jua wala mvua ambao tunaambiwa wanafuata burudani ambayo imeandaliwa na ccm?
 
Hivi kwa nini mikutano ya kampeni watu hufurika mno hasa vijana lakini ukienda vituo vya kupiga kura huwaoni.

Yaani huo umati unaouona kwenye kampeni kama wote wangekuwa wanaenda kupiga kura vituo vya kura vingezidiwa.

Lakini hakuna ukienda vituoni unashangaa kukuta wengi ni watu wazima na vituo vingine unakuta saa sita tu mchana hamna watu wameshaisha.

Hiyo mikutano ya kampeni huwa wanafuata nini wakati Siku ya kupiga kura hawaendi.
Mkuu Usiishi kwa mazoea kabisa... Kituo nilichoenda kuhakiki taarifa zangu za kupiga kura Asilimia 95 ya walioko kwenye mstari na vijana tena very young... Wazee hamna kabisa.. Wapo watu wazima WA makamo wachache tu. ...zama za kusema wanaohudhuria mikutano sio wapiga kura ilikuwa zamani si Sasa...
 
Hivi kwa nini mikutano ya kampeni watu hufurika mno hasa vijana lakini ukienda vituo vya kupiga kura huwaoni.

Yaani huo umati unaouona kwenye kampeni kama wote wangekuwa wanaenda kupiga kura vituo vya kura vingezidiwa.

Lakini hakuna ukienda vituoni unashangaa kukuta wengi ni watu wazima na vituo vingine unakuta saa sita tu mchana hamna watu wameshaisha.

Hiyo mikutano ya kampeni huwa wanafuata nini wakati Siku ya kupiga kura hawaendi.
Mataga bana, mnahamisha magoli,
Mlisema chadema imekufa, mkasema mikutano yao haina nyomi, baadaye mkaogopa mkazuia picha za drone, mkazuia tv na radio,

Sasa mnadai lile nyomi hawapigi kura
Kama unajua hesabu ushindi was chadema 0.75 vs 0.25 ccm, zidisha kwa idadi ya kura halali,

CDM don't care ikiwa 0.75 votes Ni fixed
 
Hivi kwa nini mikutano ya kampeni watu hufurika mno hasa vijana lakini ukienda vituo vya kupiga kura huwaoni.

Yaani huo umati unaouona kwenye kampeni kama wote wangekuwa wanaenda kupiga kura vituo vya kura vingezidiwa.

Lakini hakuna ukienda vituoni unashangaa kukuta wengi ni watu wazima na vituo vingine unakuta saa sita tu mchana hamna watu wameshaisha.

Hiyo mikutano ya kampeni huwa wanafuata nini wakati Siku ya kupiga kura hawaendi.
Mtateseka sana nyie vibaraka.
 
Hili swali lina mlengo wa kuhalalisha kura za maruhani
 
Hivi kwa nini mikutano ya kampeni watu hufurika mno hasa vijana lakini ukienda vituo vya kupiga kura huwaoni.

Yaani huo umati unaouona kwenye kampeni kama wote wangekuwa wanaenda kupiga kura vituo vya kura vingezidiwa.

Lakini hakuna ukienda vituoni unashangaa kukuta wengi ni watu wazima na vituo vingine unakuta saa sita tu mchana hamna watu wameshaisha.

Hiyo mikutano ya kampeni huwa wanafuata nini wakati Siku ya kupiga kura hawaendi.
Tena wengi wao wanakuwa wamevaa sare za secondary na kofia.
 
Wengi wa wapiga ukelele JF sio wapiga kura.
 
Hivi kwa nini mikutano ya kampeni watu hufurika mno hasa vijana lakini ukienda vituo vya kupiga kura huwaoni.

Yaani huo umati unaouona kwenye kampeni kama wote wangekuwa wanaenda kupiga kura vituo vya kura vingezidiwa.

Lakini hakuna ukienda vituoni unashangaa kukuta wengi ni watu wazima na vituo vingine unakuta saa sita tu mchana hamna watu wameshaisha.

Hiyo mikutano ya kampeni huwa wanafuata nini wakati Siku ya kupiga kura hawaendi.
Mtawaonaje wakati mnaleta watoro wa shule?

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom