Hivi kwanini mnapenda Biriani? Sijawahi kupenda Biriani

Jamani tayari Aaliyah
 
Asee
Niliisahau

Kumbe tunaenda kuimba Hosana huku tunazunguka kiti Cha enzi
Kweli kazi kazi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Na Mbinguni tukifika ni mwendo wa praise and worship tu hakuna kulala,๐Ÿ˜‚
 
Jamani sijui Mimi ni mshamba?sijawahi penda biriani
Hata mimi siipendi kabisa...Mimi pilau plain isiwe na viuongo vingi ,iwe na ule unga tu +itiwe nazi ,iwekwe na nyanya+viazi+nyama na pembeni kuchumbali.
 
Biriani ni kwaajili ya Wanawake wajawazito
 
Iliki,Jira,mdalasini na karafuu.... Weka kiasi Tu alafu leta mrejesho...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ