Hivi kwanini mnapenda Biriani? Sijawahi kupenda Biriani

Hivi kwanini mnapenda Biriani? Sijawahi kupenda Biriani

Ni upuuzi tu wa wabongo kupenda kwenda na upepo, kitu cha kijiiinga ila kinaweza vumishwa utasema ni nini sijui.

Birian nilipokua nasikia sikia nikajua ni kitju flan amazing sana. Halaf stupid enough, ikawa utamaduni kwamba mahala pengi maarufu birian inapikwa IJUMAA tu!. Siku nikasema acha nikatoe ushamba, aaaahhh nikakuta ujinga uuinga kabisaa.

Ni tamu birian ila sio kwa sifa na umashuhuri inayopewa.

Same same applies ni kitu flan kilivuma sana hapo nyuma , MAKANGE.
Makangeee makange, siku niko around maeneo ya Masaki , nikasema acha nisogee Jackis pale , nikaagiza makange ya kuku, doooohhhh!! I was very suprised, ni kuku tu wa kawaida sema minyanyaa na miviungoo ndio imesheheni. Ujinga kabisaa.

Ikaja ujinga mwingine maarufu wa vyakula kwa jina la KISINIA.

Yan wabongo wanapenda sana ku "trend-sha" vitu sana
Eti kisinia...Kuna siku nikajichanganya na vijana wenzangu tukachanga kama 80k hivi tukaenda kununua kisinia.

Yaani ni ovyo sana hakuna maajabu.
 
Back
Top Bottom