Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti tabia mbaya!Mariam huyo ndio alileta balaa😁kwa sababu kimeunganishwa na tabia mbaya!
vinginevyo ni wali wa kawaida wenye rangi nyama yake ikachanganywa na mtindi,nyanya nyingi vitunguu vilivyoungua na viungo vya pilau kwisha!
Dr am 4 real PhD picha hiyoooJana ilivyokua
Hahahahaha huwa kila ijumaa naingia kariakoo lumumba kutafuta mandi,biriani au mapocho pocho ya kuleWacha wee!yaani Ulikuwa serious ukalifuata,good
HahahahahaKwanza akumbuke,wali bila maharage ni kuchezea mchele!atua hie wali wetu na ndondo
Kumbe nikama pilau la kawaida Ila la tofauti kidogo..Dr am 4 real PhD picha hiyooo
Hahahahaha..nataka sana kuitumia ila naona umetoa tena kwa mwingine nafasi yenyeweWewe nilishakupa hii nafasi hutaki kuitumia,una Nini lakini😁😁?
Hahahahaha.....ramli muhimu mambo haya .ila limeisha hilo tuko pamoja now and forever 😂😂😂😂Awali Ina nguvu,...tatizo unapiga sana ramli🤣🤣🤣
Hahahahaha...inabidi tuipange vzrMmmh mbona hatukaribishani tukale mandi jamani😋
Na mm naitaka hii aisee aje kutufundishaMandhi pleaseeeee....
Hahahaha umeona eehHaya ndio mambo Sasa.
Lini unalipika nije kudoeaNi wali tu hauna hata kiungo zaidi ya rangi ila Hilo roast lake ndio Lina ladha
Nenda pale Chef Pride ijumaa next wiki ukale biriani halisi 😁🤣🤣🤣Itakuwa Kwa kweli