Hivi kwanini mnapenda Biriani? Sijawahi kupenda Biriani

Hivi kwanini mnapenda Biriani? Sijawahi kupenda Biriani

Inaelekea unapenda sana viporo 🤣
Biriani mimi ule mchele wa basmati siupendi upo km wa plastic, mambo ya waarabu na wahindi mimi nehi nehi sijawahi kuuelewa.
Nishazoea mchele wa Sumbawanga grade one. Kitu kinachambuka kwenye sufuria
Mchele wa basmat ni kisanga mkuu, ile pure plastic
 
Ushakula Biriani ya "Passing Show"?
Ni balaaa 😋
Ile biriani nimeshakula sana pale 😁
Na kuna sehemu nyingine Maisala karibu na CCM Bar pale hata jumapili ilikuwa inapikwa. Hata Dar Biriani OG lipo Chef Pride
 
Mpishi aliyoiandaa hajui kuiandaa. Biriani ina namna yake iliandaliwa utakula hata sinia 3.
 
Tatizo ni aina ya mchele unaotumika hauna ladha kabisa unavutia machoni tu ila sio mdomoni ☹️☹️
 
Biriyani ni chakula kilichokuwa overrated ssna
Hapa kali ni lile rojo lake tu ndio linanikosha nikilipatia
Ila ule wali wake hadi kuongeza manjonjo kiasi,vinginevyo ni ubwabwa usionukia[emoji23]

Hapana aisee mi hayo mamichuzi ndo kabisa siyaelew hatar
 
Hivyo vitu tuachieni watu wa pwani ... Nyie endeleeni na sembe lenu
 
Tatizo ni aina ya mchele unaotumika hauna ladha kabisa unavutia machoni tu ila sio mdomoni ☹️☹️
Yani ukipika bila viungo vingine huo wali ndio balaa angalau uongeze viungo lkn m naona Bado haujafikia mchele wa kawaida
 
Back
Top Bottom