Hivi kwanini mnapenda Biriani? Sijawahi kupenda Biriani

Hivi kwanini mnapenda Biriani? Sijawahi kupenda Biriani

Haya tayar😂😂nimetoa kwenye box
Njoo ule
IMG_20240510_200032.jpg

Ivan Stepanov
 
Mkuu,
Nyie mna muda Sanaa mpaka wa kupika pika😊😊
Hamna mkuu hakuna kitu napenda kama kupika maana napenda kula sana.
Yani nahakikisha kuanzia saa 11 jioni nawahi home kutengeneza twaamu/msosi japo mke ninae.
Na mbaya zaidi mke amezoea kula mkono wa mumewe🤣🤣.
 
Biryani ni viungo sio mchele.
Biryani waweza pikia mchele wowote.
Ila sisi waswahili twadhani biryani lazima upikie mchele wa basmat noop.
Mchele hata wa Mbeya unapikia biryani.
Basmat mchele wa Far East ndio mchele walio nao.
Hapo sawa!!
 
Hamna mkuu hakuna kitu napenda kama kupika maana napenda kula sana.
Yani nahakikisha kuanzia saa 11 jioni nawahi home kutengeneza twaamu/msosi japo mke ninae.
Na mbaya zaidi mke amezoea kula mkono wa mumewe🤣🤣.
Vizur Sanaa 😊 mkuu yaan mkeo atakua anafaidi sanaa
 
Brian chakula au mnamaanisha mengine, tusije changia tusivyojua
 
Back
Top Bottom