Hivi kwanini mpaka leo hatutumii body bags kuhifadhia maiti Tanzania!

silent lion

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Posts
1,644
Reaction score
2,416
Iwe kwa ajali au sababu nyengine yoyote, miili ya wapendwa wetu inakua inaachwa wazi kabisa, unaweza kukuta maiti yupi na boxer tu au yupo uchi, huu sio utu,

Wizara ya Afya na Wizara ya mambo Ndani hivi mnashindwaje kuagiza body bag ambayo bei yake ni chini ya dola moja kule China
 
Hii Fursa Mkuu ,iangalie vzr
 
Kabla Ya Kuleta Body Bags Waboreshe Mortuary Hazipo Kwenye Standard Zipo Kama Store Vilevile Equipment Outdated
 
Body bags zipo mbona ila wanauza 10,000 kama ukitaka mwili wa ndugu yako waufunike
 
Pesa za kulipa wasiojulikana zitakosekana wakinunua body bags,

Kupanga ni kuchagua.
 
Back
Top Bottom