silent lion
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 1,644
- 2,416
Hii Fursa Mkuu ,iangalie vzrIwe kwa ajali au sababu nyengine yoyote, miili ya wapendwa wetu inakua inaachwa wazi kabisa, unaweza kukuta maiti yupi na boxer tu au yupo uchi, huu sio utu,
Wizara ya Afya na Wizara ya mambo Ndani hivi mnashindwaje kuagiza body bag ambayo bei yake ni chini ya dola moja kule China