Nelson nely
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 4,251
- 2,869
Ndiyo nini sasa mkuu?Gravity
Density
Viscosity
Spherical shape(water drops)
Technically, waliopo antarctica wapo upside down ila sababu ya gtavitational force, hawatambui hilo wala kuexperience hii. Hata sisi wa Tz kwa position tuliopo ktk dunia ni kama tunatembea perpendicular kwa pembeni ila tunajiona tuko upright sababu ya hii force.Kwann ardhi isiwe juu halaf anga ikawa chini?!
kutoka pale kwenye mawinguUnataka mvua inyeshe kuelekea juu ikiwa imetokea wapi?
Mfano mzuri huu hapa. Huko angani kwenye space stations. Hata kuoga ni shughuli pevu. Maji hayatoki kwenye ndoo wala bakuli. Inabidi watumie vitu ambavyo vina suction effect.Ni kwasababu ya kani mvuto kuelekea uso wa dunia (gravitational force) ndio maana kila kitu juu ya uso wa dunia kinavutwa kuelekea uso wa dunia.
Kila kinacho anguka huelekea uso wa dunia. Ni kama nguvu flani ya sumaku inavuta vitu vyote kuja kwenye uso wa dunia.
Ukienda anga ya mbali sana (outer space) ambako hakuna kabisa nguvu hii au ni dhaifu kuliko nguvu ya mvuto kuelekea sayari nyingine basi ukiweka mabarafu au maji kama ya mvua hayatakuja duniani kwenye uso wa dunia.
maji(mvua/mawingu) yatabaki yana elea au yatavutwa kwenda sayari yenye nguvu kubwa zaidi ya mvuto kwenye eneo husika.
Juu huwa inaenda sema tu ikienda juu huwa hatuiiti mvuakutoka pale kwenye mawingu
Sasa kwanini mawingu yasivutwe mazima mazima na kani kuja ardhini?mbona yameganda tu pale?Ni kwasababu ya kani mvuto kuelekea uso wa dunia (gravitational force) ndio maana kila kitu juu ya uso wa dunia kinavutwa kuelekea uso wa dunia.
Kila kinacho anguka huelekea uso wa dunia. Ni kama nguvu flani ya sumaku inavuta vitu vyote kuja kwenye uso wa dunia.
Ukienda anga ya mbali sana (outer space) ambako hakuna kabisa nguvu hii au ni dhaifu kuliko nguvu ya mvuto kuelekea sayari nyingine basi ukiweka mabarafu au maji kama ya mvua hayatakuja duniani kwenye uso wa dunia.
maji(mvua/mawingu) yatabaki yana elea au yatavutwa kwenda sayari yenye nguvu kubwa zaidi ya mvuto kwenye eneo husika.
Nimekupata vizuri sana mkuu,shukran.Ufafanuzi zaidi:
Unajua maji yanapokuwa juu zaidi ya uso wa dunia ambako joto ni dogo sana basi huanza kuganda na kufanya density yake kuwa ndogo kuliko ya hewa iliyopo kwenye uso wa dunia. Maji hayo yakiganda huitwa mawingu ya mvua.
Sasa kwa nmna hiyo kitu chenye density ndogo huelea juu ya kitu chenye density kubwa.
hali ya hewa inapobadilika na joto kuongezeka yana yeyuka na kuyafanya kuwa kimiminika yaani haya maji unayo yajua ambayo yana density kubwa kuliko hewa ndio yenyewe hushuka chini na hewa kwenda juu yake.
Sasa ni uwiano wa tungamo(mass) na volume (ujazo). Hiyo tungamo(au mass) huusiana moja kwa moja na nguvu kani ya mvuto kuelekea kwenye uso wa dunia. na ndio maana pale ambapo nguvu kani hii ni dhaifu au haipo vitu vyote huonekana vyepesi havina uzito(weightless) na huwa vina elea tu haviendi juu wala chini.
Ni ngumu kuelezea sayansi ktk lugha yatu ya kiswahili. natumaini umenielewa kidogo.
Juu tunaitaje mkuu?Juu huwa inaenda sema tu ikienda juu huwa hatuiiti mvua
Jamaa ametoka kula Jamaican VegetableMaswali mengine duuu,,!
Nadhani ufafanuzi zaidi umesha jibu swali lako kiasi flani na kilichobakia naendelea hapa chini.Nimekupata vizuri sana mkuu,shukran.
Nimesema sababu density yake ni ndogo na joto linapo ongezeka kule juu basi mawingu (mabarafu) huyeyuka na kuwa na density kubwa kuliko hewa hivyo lazima hewa ilyopo chini yake ipande juu na yenyewe yaende chini.Sasa kwanini mawingu yasivutwe mazima mazima na kani kuja ardhini?mbona yameganda tu pale?