Nelson nely
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 4,251
- 2,869
- Thread starter
- #21
Aisee...kwa hiyo umelalaNataman nieleze sema nmechoka sana mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee...kwa hiyo umelalaNataman nieleze sema nmechoka sana mkuu
UongoJamaa ametoka kula Jamaican Vegetable
Nipo huku kaburn ... Kuna giza sanaAisee...kwa hiyo umelala
Unasema upo wapi?Nipo huku kaburn ... Kuna giza sana
A e i o u ... Mkuu nasinziaUnasema upo wapi?
Kwan tanzania sa hv n saa ngapUnasema upo wapi?
Mkuu umesema hapo juu kuwa maji yanapo kuwa juu huganda coz ya baridi,na joto linapo ongezeka hayo maji huyeyuka nakuwa na density kubwa kuliko hewa na ndio mana hushuka kwasababu umesema KITU CHENYE DENSITY NDOGO HUWA JUU YA KITU CHENYE DENSITY KUBWANadhani ufafanuzi zaidi umesha jibu swali lako kiasi flani na kilichobakia naendelea hapa chini.
Nimesema sababu density yake ni ndogo na joto linapo ongezeka kule juu basi mawingu (mabarafu) huyeyuka na kuwa na density kubwa kuliko hewa hivyo lazima hewa ilyopo chini yake ipande juu na yenyewe yaende chini.
Hii ndio sababu mvua hainyeshi miezi ambayo joto ni dogo ktk anga au juu ya uso wa dunia. Ukifuatilia mizunguko ya dunia ambayo ni miwili. Dunia kulizunguka jua na dunia kuzunguka yenyewe kwenye muhimili wake. Huo mzunguko wa kwanza ndio huleta majira ya mwaka na kubadilika kwa joto kwenye uso wa dunia.
Hivyo miezi ambayo joto huongezeka (zingatia hii sio jua kuwa kali) ni miezi ambayo mvua hunyesha sababu ndio mawingu huyeyuka.
Daah natamani ningekuwa mwalimu wa fizikia au jiografia lakini ndio hivyo tena sikusoma kabisa jiografia ktk elimu yangu ya upili.
Kwa haraka unaweza sema solid ni denser kuliko liquid lakini ukweli ni kuwa Density haitegemei states of matter. Density Inategemea zaidi uwiano kati ya 'mass' na 'volume'. Ndio maana Meli inaelea ingawa ina vyuma vingi.Mkuu umesema hapo juu kuwa maji yanapo kuwa juu huganda coz ya baridi,na joto linapo ongezeka hayo maji huyeyuka nakuwa na density kubwa kuliko hewa na ndio mana hushuka kwasababu umesema KITU CHENYE DENSITY NDOGO HUWA JUU YA KITU CHENYE DENSITY KUBWA
SASA BASI HIVI KATI YA SOLID NA LIQUID KIPI KINA DENSITY KUBWA??
Thanks mkuuKwa haraka unaweza sema solid ni denser kuliko liquid lakini ukweli ni kuwa Density haitegemei states of matter. Density Inategemea zaidi uwiano kati ya 'mass' na 'volume'. Ndio maana Meli inaelea ingawa ina vyuma vingi.
Pia density Inategemea na packing ya particles katika matter. Vitu ambavyo packing yake ni loose vinakua na density ndogo kwa sababu volume ni kubwa lakini mass iliyokuwa occupied na hiyo volume ni ndogo. Nadhani mawingu yana loose packing ya particles ndio maana yana density ndogo kuliko air.
Hata barafu huelea juu ya maji kwa sababu ya loose parking. Kwahiyo usikariri kuwa solid matter ni lazima iwe denser kuliko liquid
Likiwezekana hilo na binadamu watatembelea vichwaKwa sababu ninavyofahamu kwa elimu ya shule ya msingi,Mawingu pale yalipo ni mvuke ulioganda,ambao ukijisikia unatoa mvua,tunalima na tunavuna.Sasa je,kwanini mvua ikitaka kunyesha hainyeshi kwenda juu na badala yake inanyesha kuja chini?
unapoelekea utataka mawingu tuwe tunayakanyagaKwa sababu ninavyofahamu kwa elimu ya shule ya msingi,Mawingu pale yalipo ni mvuke ulioganda,ambao ukijisikia unatoa mvua,tunalima na tunavuna.Sasa je,kwanini mvua ikitaka kunyesha hainyeshi kwenda juu na badala yake inanyesha kuja chini?
Je mtu aliyeko South pole?Mvua inamnyeshea kwenda juu au chini?Kwa sababu ninavyofahamu kwa elimu ya shule ya msingi,Mawingu pale yalipo ni mvuke ulioganda,ambao ukijisikia unatoa mvua,tunalima na tunavuna.Sasa je,kwanini mvua ikitaka kunyesha hainyeshi kwenda juu na badala yake inanyesha kuja chini?
Wapi?Je mtu aliyeko South pole?Mvua inamnyeshea kwenda juu au chini?
Aise..Kwa haraka unaweza sema solid ni denser kuliko liquid lakini ukweli ni kuwa Density haitegemei states of matter. Density Inategemea zaidi uwiano kati ya 'mass' na 'volume'. Ndio maana Meli inaelea ingawa ina vyuma vingi.
Pia density Inategemea na packing ya particles katika matter. Vitu ambavyo packing yake ni loose vinakua na density ndogo kwa sababu volume ni kubwa lakini mass iliyokuwa occupied na hiyo volume ni ndogo. Nadhani mawingu yana loose packing ya particles ndio maana yana density ndogo kuliko air.
Hata barafu huelea juu ya maji kwa sababu ya loose parking. Kwahiyo usikariri kuwa solid matter ni lazima iwe denser kuliko liquid
Kibanga ampiga mkoloni kwa kwenzi ....[emoji23][emoji23][emoji23]Maswali mengine duuu,,!
Nimeuliza tu,kwamba huko juu wenzetu hawahitaji mvua?Jamaa kuna kitu unajua wewe. Hebu tuanzie hapo tufungue Akili kisha tupe elimu yako