Yamakagashi
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 8,614
- 17,626
Jaribu kutembea na kichwa halafu ulete mrejesho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mimi huko o-level sijafanikiwa kujaHaya ndio matatizo ya kutokuzingatia vizuri notes za O-level somo la geography na physics.... Mnakuja kutusumbua ukubwani huku na maswali ambayo wanatakiwa kuuliza watoto wa kindergarten!
Kwanza lazima ujue moshi umeumbwa na nini?Na kwanini moshi huwa unapanda juu na hauji chini kama ilivyo mvua??
Ndio itakuwaje mkuu?Jaribu kutembea na kichwa halafu ulete mrejesho
Vitu vinavyotuzidi urefu si huwa tunasema vipo juu?inamaana sisi tupo chini.Una uhakika gani kama huku inakonyeshea ni chini ?
Mimi huwa sisemi hivyo kuwa vilivyo virefu vipo juu.Vitu vinavyotuzidi urefu si huwa tunasema vipo juu?inamaana sisi tupo chini.
Kuna jambo jingine lazima nilizungumzie.Mbona mengine hayayeyuki yanashuka kama mawe, hapo density ipi inakua kubwa?
Haya fanya mpango basi ufike....haya maswali unayouliza ni aibu kwa mtu anayejua kutumia smartphone ambayo inauwezo wa kukupa jibu la chochote utakacho chini ya juaMkuu mimi huko o-level sijafanikiwa kuja
Ukubwa wa density ya kitu haitegemei kwamba ni SOLID au LIQUID hutegemea element gani au molecule zake zina structure gani. Kama structure yake inafanya kiwe kizito ktk ujazo mdogo kinakuwa na density kubwa.Mkuu umesema hapo juu kuwa maji yanapo kuwa juu huganda coz ya baridi,na joto linapo ongezeka hayo maji huyeyuka nakuwa na density kubwa kuliko hewa na ndio mana hushuka kwasababu umesema KITU CHENYE DENSITY NDOGO HUWA JUU YA KITU CHENYE DENSITY KUBWA
SASA BASI HIVI KATI YA SOLID NA LIQUID KIPI KINA DENSITY KUBWA??
mmh sio tango pori hiliTechnically, waliopo antarctica wapo upside down ila sababu ya gtavitational force, hawatambui hilo wala kuexperience hii. Hata sisi wa Tz kwa position tuliopo ktk dunia ni kama tunatembea perpendicular kwa pembeni ila tunajiona tuko upright sababu ya hii force.