Hivi kwanini mvua isinyeshe kuelekea juu..Badala yake inanyesha kushuka chini?

Mkuu umesema hapo juu kuwa maji yanapo kuwa juu huganda coz ya baridi,na joto linapo ongezeka hayo maji huyeyuka nakuwa na density kubwa kuliko hewa na ndio mana hushuka kwasababu umesema KITU CHENYE DENSITY NDOGO HUWA JUU YA KITU CHENYE DENSITY KUBWA

SASA BASI HIVI KATI YA SOLID NA LIQUID KIPI KINA DENSITY KUBWA??
 
Kwa haraka unaweza sema solid ni denser kuliko liquid lakini ukweli ni kuwa Density haitegemei states of matter. Density Inategemea zaidi uwiano kati ya 'mass' na 'volume'. Ndio maana Meli inaelea ingawa ina vyuma vingi.

Pia density Inategemea na packing ya particles katika matter. Vitu ambavyo packing yake ni loose vinakua na density ndogo kwa sababu volume ni kubwa lakini mass iliyokuwa occupied na hiyo volume ni ndogo. Nadhani mawingu yana loose packing ya particles ndio maana yana density ndogo kuliko air.

Hata barafu huelea juu ya maji kwa sababu ya loose parking. Kwahiyo usikariri kuwa solid matter ni lazima iwe denser kuliko liquid
 
Thanks mkuu
 
Kwa sababu ninavyofahamu kwa elimu ya shule ya msingi,Mawingu pale yalipo ni mvuke ulioganda,ambao ukijisikia unatoa mvua,tunalima na tunavuna.Sasa je,kwanini mvua ikitaka kunyesha hainyeshi kwenda juu na badala yake inanyesha kuja chini?
Likiwezekana hilo na binadamu watatembelea vichwa
 
Kwa sababu ninavyofahamu kwa elimu ya shule ya msingi,Mawingu pale yalipo ni mvuke ulioganda,ambao ukijisikia unatoa mvua,tunalima na tunavuna.Sasa je,kwanini mvua ikitaka kunyesha hainyeshi kwenda juu na badala yake inanyesha kuja chini?
unapoelekea utataka mawingu tuwe tunayakanyaga
 
Kwa sababu ninavyofahamu kwa elimu ya shule ya msingi,Mawingu pale yalipo ni mvuke ulioganda,ambao ukijisikia unatoa mvua,tunalima na tunavuna.Sasa je,kwanini mvua ikitaka kunyesha hainyeshi kwenda juu na badala yake inanyesha kuja chini?
Je mtu aliyeko South pole?Mvua inamnyeshea kwenda juu au chini?
 
Ni swali la msingi hata aliyegundua gravitational force alirusha embe juu akashangaa ni kwa nini lirudi ardhini? Hata the law of flotation, Archemedes alikua anacheza na maji kama mtoto
 
Aise..
 
Jamaa kuna kitu unajua wewe. Hebu tuanzie hapo tufungue Akili kisha tupe elimu yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…