Hivi kwanini mvua isinyeshe kuelekea juu..Badala yake inanyesha kushuka chini?

Kwa sababu ninavyofahamu kwa elimu ya shule ya msingi,Mawingu pale yalipo ni mvuke ulioganda,ambao ukijisikia unatoa mvua,tunalima na tunavuna.Sasa je,kwanini mvua ikitaka kunyesha hainyeshi kwenda juu na badala yake inanyesha kuja chini?
Gravity, na yako kwenye anga la dunia ndiyo maana dunia ina revolve ikiwa nayo
 
Kwann ardhi isiwe juu halaf anga ikawa chini?!
Ili iweje?mimi nauliza kwa sasa kwanini mvua isitoke pale kwenye mawingu inyeshe kuelekea juu,badala yake inashuka kuja kwetu?huko juu kuna viumbe gani wababe kuliko binadamu?
 
Kurevolve pamoja nayo siyo tatizo mkuu,labda nielezee kuhusu hiyo gravity.
gravity ni mvuto unaovuta kila kitu kilichopo kilichopo katika umbali flani wa dunia kuvutwa kuelekea kwenye dunia, hata vyombo vya anga ya juu ili viweze kutoka nje kabisa ya anga la dunia vinabidi viende kwa kasi ya kiwango flani ili kuishinda nguvu gravity.
kutokana na kanuni hiyo kila kitakachodondoka kinadondoka katika uelekeo wa dunia siyo nje ya dunia kutokana na huo mvutano
 
Mbona mengine hayayeyuki yanashuka kama mawe, hapo density ipi inakua kubwa?
 
Aka escape velocity.
 
Na kwanini moshi huwa unapanda juu na hauji chini kama ilivyo mvua??
 
 
Mkuu,kwa hiyo inamaanisha hiyo nguvu ipo tu muda wote?na kwanini isivute ndege wa angani,ndege za abiria zilizo juu nk(rejea ndege ya malaysia iliyotoweka,mbona haikurudi ardhini tena?je hii haiashirii kuwa huenda kuna force ya kuzidi huko juu ila inachagua vitu yenye uhitaji navyo?
 
Narudia tena ndege inaelea kwasababu ya kanuna za aerodynamics na ndege hawezi kuruka kuzidi umbali flani hadi ikatoka nje ya dunia kwasababu haiwezi kushinda gravity ndiyo maana kuna sehemu nimeandika kwamba hata vyombo vya anga za juu ili vitoke nje ya dunia vinahitaji kusafiri kwa speed flani ili kushinda hiyo nguvu ya mvutano. (escape gravity)
Ndiyo iko muda wote ndiyo pia inayo shikiria mawingu na atmosphere isipeperuke ikaiacha dunia.
Ndege ya Malysia hakuna sehemu yoyote ilipokuwa proven kuwa ilitoka nje ya dunia huenda ilidondoka baharini na isionekane.
Kwa taarifa yako ni kwamba science inajua mengi yaliyoko angani kuliko yaliyoko baharini technology ya sasa haijaweza kuchunguza kina kirefu cha bahari, yani kwa sasa ni rahisi kutuma chombo sayari ya Mars kuliko kutembelea kina kirefu kabisa cha bahari.
 
We unaona gravity ina pull wap? Ujinga wa SGR huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…