Ndugu zangu tusipindishwe mawazo na mafisadi kwa kutupandikizia chuki ya kuanza kubaguana kwa vyama.
Hapa wote tunahubiri mabadiliko kwa maisha ya mtanzania, ukiangalia chadema wanasema elimu bure, afya bure, Makazi bora, kilimo bora, kuwaangamiza mafisadi lakini tunapokuja kwenye issue ya vyama kama wewe ni NCCR, TLP au kama mimi chadema washawishi watanzania siyo unakuwa KAWE alafu unataka ujulikane TZ nzima.
Mimi nashangaa mtu ujiunge na NCCR au CUF kwa sera ipi.
Sijawahi kuona CHADEMA wakiiandama CUF au NCCR.
Nashukuru kwa watanzania kuiunga mkono chadema.