Jamani kama kuna wazee hili Taifa wenye kutia neno Mimi naomba mnisikilize na mtakuja sema Taifa lina manabii.
Prof Janabi ni kiongozi hanijuwi simjuwi ila kwa kazi anazifanya na uzalendo wake kwa watanzania Mimi nawaomba huyu jamaa apewe form atatupeleka kuwa nchi ya maziwa na asali.
Kule Marekani kuliwahi kuwepo Bencarson daktari bingwa wa upasuwaji. Japo hakupata ila kwakweli Janabi Prof nichuma.
Prof Janabi amekuwa mkurugenzi alie fanya mabadiliko makubwa sana kwenye kila secta amepewa pale muhimbili pamepita wakurugenz wengi ila Prof Janabi amepadilisha sana sana.
Prof hana makuu na nimtu wa watu kama kweli tuna taka Rais huyu mwamba anaweza kuwa jibu lakizazi kipya na atakuwa naashirikiano makubwa na mataifa makubwa.
Nyota ya huyu Prof sio ukurugenzi ni Urais wa Jamuhuri ya watu wa Tanzania. Sio sipendi kwenda na Samia hapana ila namuona Prof Janabi jembe sana na anaweza kututoa hapa tulipo kwa kufanya mabadiliko makubwa na Taifa hili kikawa na Neema za ajabu mimi ni Mkiristo ila namuona Muislamu huyu ni WA wote hana udini ana upendo na watu wake anajitoa kwa Taifa lake ❤️🇹🇿