Hivi kwanini Prof. Janabi asiwe Rais wa Jamuhuri ya watu wa Tanzania?

Kuongoza nchi sio jambo dogo mkuu
 
Sawa Janabi ni daktari mzuri,ila kwenye siasa NO hafai kabisa,siasa zina wenyewe...
 
UKIMPA HUYO MWISHO WA SIKU ATAKWAMBIA ILI MUWE NA AKILI INABIDI KULALA SAA MOJA JIONI
 
Mbona hajaishauri serikali kuanzisha university teaching hospital Mloganzila hadi nchi Haina university teaching hospital karne hii ya science and research.
 
Naona ndugu zetu katika Imani mmenogewa na madaraka baada ya kuona hata yule kawa Rais.

Yaani mnataka hata na huyo mwehu awe Rais wetu? Hivi Kuna medical doctor hapa DUNIANI ni Comedian? Msituudhi tafadhali
 
Mke wake ni daktari bingwa anaweza jinunulia anachotaka kula ,
Kwa hiyo ukiwa bingwa ndio makabichi anayosema mumewake yeye hawezi kuyara?kingine bongo hii hakuna bingwa wote popoma tu bingwa ni huko ulaya.......hapa labda tulichoweza kutahiri basi.........maana ukija kwenye hizo nyingine sijui kidole turbo sijui too sijui moyo sijui mapafu bado sana tutawaachia mikasi na viwembe mpaka mkione........na nyie mnaojifanya mnataka kuongeza wowowo godoro la supa banko linawahusu
 
Kwani wewe huwezi kuwa Rais, ??
 
Kulikuwa na haja gani kutaja habari ya dini? Sisi watanzania ni wapumbavu sana, hatuwezi kufanya maendeleo mpaka tuhusishe udini? Ukiwa dini moja au tofauti na mtu lazima uliongelee?

Una hoja, lakini hiyo habari ya dini ni upumbavu wa hali ya juu umeutaja.
 
Hujaacha tuu kuongea vapour πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mabadiliko makubwa kama yapi? Anaweza kukutoa wewe hapo ulipo kwenda wapi? Kwani uko wapi saizi? 😁😁
 
Inaoneka tz watu wengi bado wana undergo revolution

Sasa wewe haya unayoyaandika unayataoa wapi?

Nchi haina tatizo wala uhaba wa watu
Tatizo ni mifumo imekaa tenge

Tunahitaji kuweka mifumo sawa kwanza. then mtu yoyote anaweza kukaa pala juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…