Hivi kwanini Prof. Janabi asiwe Rais wa Jamuhuri ya watu wa Tanzania?

Naunga mkono hoja
 
Watu wanapasuliwa moyo unaleta ujeuri wa ulaya ukiugua tutaona ujeuri wako nyuma ya keyboard
 
Watu wanapasuliwa moyo unaleta ujeuri wa ulaya ukiugua tutaona ujeuri wako nyuma ya keyboard
Unajifanya mzalendoooo mwenyewe............wenzanko wakiumwa mbioooo si wanajua sababu kwanza watanzania sio wa kweli kwenye ufaulu pili watu hawako siriazi tatu utarekodiwa theatre uje kuwa connection kwa wana ...........huoni the late ja- KAYA alienda kufanyiwa tezi dume mbelee kwani hapa wataalamuna hakuna??????? Shituka wewe ngosha.....muwacheleweshee bum mpaka wakajiuze harafu urete umama wako walahi nakusahaulia mkasi au kiwembe makusudi tumboni
 
Ebu acha zako,

Yaani unataka tuanze kula chakula kwa kujificha.......! Bangi tujifiche na chakula Tena.

Sababu huyo jamaa suala la Milo mitatu kwa siku itakuwa uhujumu uchumi.
 
Humjui tu jamaa. Sidhani kama yeye ndiye chanzo cha mabadiliko unayoyaona MNH, bali amekuta kazi zimefanywa na watangulizi wake akina Prof Museru, Dr Njelekela nk. Watangulizi wake hawakuwa watu wa PROMO bali kazi tu.

Kitu pekee kafanya Dr Janabi ni kupiga rangi majengo, kuweka pavement blocks na kuanzisha parking system ya kulipia

Kazi ya kuanzisha JKCI ni ya Dr Njelekela na Dr Richard Mvungi. Na kwa MNH aliye equip MRI, CT Scan, Theatres na ICUs 12 kwa kila ward ni Prof Lawrence Museru.

Ubora wa hospitali haupomwi kwa majengo bali kwa vifaa vya utambuzi wa magonjwa na uwapo wa madaktari bingwa.

Musidanganyike sana na hizo show off za Prof Janabi. Sanasana ni mtu mfitini katika kupata vyeo
 
Naona ndugu zetu katika Imani mmenogewa na madaraka baada ya kuona hata yule kawa Rais.

Yaani mnataka hata na huyo mwehu awe Rais wetu? Hivi Kuna medical doctor hapa DUNIANI ni Comedian? Msituudhi tafadhali
Mkuu Makojo umepiga penyewe. Halafu ukipita MNH ukimkuta utajuwa naye kaenda kutibiwa kwa jinsi alivyo na afya mgogoro, kumbe ndiyo CEO wa MNH
 
Nimependa hiyo JAMHURI YA WATU WA TANZANIA ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€
 
Janab ni zaid ya urais unao mpigania...yupo kimkakati sana ktk nchi hii...sio wa kawaida kama unavyo mfikiria...kwanza hata huko hawazi.
Nikweli hawazi wafuwatiliaji wa mambo tumeona hivyo
 
Inaoneka tz watu wengi bado wana undergo revolution

Sasa wewe haya unayoyaandika unayataoa wapi?

Nchi haina tatizo wala uhaba wa watu
Tatizo ni mifumo imekaa tenge

Tunahitaji kuweka mifumo sawa kwanza. then mtu yoyote anaweza kukaa pala juu
Kweli mkuu
 
Atakapo kuwa Rais ataokoa sana watu na magonjwa ya ajabu atafanya reform kubwa kwenye afya na chakula
Aendelee kufanya hivyo kwa kutoa elimu tu, lakini siyo kwa kutoa Executive Order ya anayopenda yeye kwenye maisha yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ