Hivi kwanini Prof. Janabi asiwe Rais wa Jamuhuri ya watu wa Tanzania?

Nyie watu mkisha kunywa mkalewa mnaanza kutapika na kujisaidia hovyo. Janaba unataka awe rais?kesho si utasema kwa nini asiwe mumeo au baba yako? Muiheshimu nchi na mumheshimu rais
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…