Ustadh tongwe
JF-Expert Member
- Nov 22, 2020
- 717
- 1,903
Uzi ufungiwe hapaSehemu zote wanaajiri kwa kujuana. Kikubwa pigana ukipata nafasi uifungulie familia yako mkuu.
Hivi katika mazingira yetu bado unaamini katika mazingira ya haki,mazingira ya weledi?Ikiwa bado uko huko wewe ni wakuhurumiwa,upo usemi maaruf,"survival for the fittest" ikimaanisha kuishi kwa hitaji mapambano sawa na maisha ya porini kuishi ubabe muhimu.Hili suala la Tra kuruhusiwa kuajili wenyewe ndio mwanzo wa kurudisha enzi zile za kujazana kabila Moja ofisini hakuna ushindani wa kupata ajira aliemshauri rais kuruhusu hili ametoa ushauri kwa maslahi yake binafsi km bot inapeleka utumishi kwann wao wasipeleke

Uongo unapokaribia na kweli🙂Lengo la uzi ni kutuhumu wachaga, baasi!
Mwaka huu wamepitia utumishiBot hawajawahi kuajiri kupitia utumishi.
Tatizo ni rais muislamu...waislamu hawana skili ya kuongoza hata matajiri wengi wa kiislamu msingi wa utajiri wao ni ufisadi ...subiri hadi hakija Rais mkristo au mpagani ndiyo hayo unsyo sema yanaweza kufanyiwa kazi.Hili suala la TRA kuruhusiwa kuajili wenyewe ndio mwanzo wa kurudisha enzi zile za kujazana kabila Moja ofisini hakuna ushindani wa kupata ajira,
Aliemshauri Rais kuruhusu hili ametoa ushauri kwa maslahi yake binafsi kama BOT inapeleka utumishi kwanini wao wasipeleke.
Tuambie kilicho nyuma ya huo utaratibu aseh.Ukifanikiwa kufahamu kilicho nyuma ya huo utaratibu unaweza ukaichukia nchi yako