Hivi kwanini Sisi binadamu tunakubali kutawaliwa (to be controlled) na binadamu mwingine?

Siyo kukubali. Kawaida binadamu anamtawala mwingine kwa mabavu. Mbabe ndiyo anatawala. Ni kama wanyama wengine wote ambao ni social. Mbabe ndiye anatawala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…