Kwa mazingira, aina ya watu & situation uliyozungumzia japo kwa juu juu, mi nnachoona hapa ni exploitation/taking advantage zaidi ya manipulation.
Na ukiachilia mbali kwamba kuishi kijanja janja imeshakua sehemu ya utamaduni wetu bila kujali tabaka, ni kweli kwamba UMASIKINI ni moja ya kichocheo kikuu.