Yani kuna mazingira unakuwa unashida au huwezi pata huduma labda ya kuweka hela kwenye simu wakati huo unauhitaji labda wa kumunua units (luku) hadi inakuchukulia kulala giza au kushindwa kufanya kazi kwa sababu ya umeme kuisha.
Kwenye mitandao ya simu kuna huduma ukitaka kukopa vocha/salio muda wa maongezi au bando unapewa bila wasiwasi,na ukija weka hela kwenye simu yako au kununua vocha hapo hapl wanakata hela yao.
Hivi TANESCO mtu amejisaji tena kwa namba yake ya simu kabisa na majina yote yapo pale hadi mtaa wa nyumba na namba ya nyumba kabisa wanashindwa nini...
Utaratibu kama upi? Mpangaji aje akope umeme wa 50,000 autumie uishe ahame.. wabongo tuna balaa sanaWanaweka utaratibu mbona cm mtu kasajili kwa jina si lake lakini anakopeshwa.
Na tena waweke limit ya ukopaji labda isizidi elfu 5,au kama kuna deni mita ijipini hadi lilipwe alafu wapewe kodi ya kuifungu kama inavyotempa unapewa namba au wanakuja wanakufungulia.Utaratibu kama upi? Mpangaji aje akope umeme wa 50,000 autumie uishe ahame.. wabongo tuna balaa sana
Utaratibu kama upi? Mpangaji aje akope umeme wa 50,000 autumie uishe ahame.. wabongo tuna balaa sana
Unakopa kwa NIDAUtaratibu kama upi? Mpangaji aje akope umeme wa 50,000 autumie uishe ahame.. wabongo tuna balaa sana
Utalala gizaKabla hajakopa au kabla hajapewa meseji ya maombi iende kwa mwenye nyumba ndio aidhinishe
Mbona hata songesha ina NIDA na wajuba hawajali wala nini wanavunja line😁Unakopa kwa NIDA
Duh,ni ujinga kuvunja line.mfano tigo naweza kopa mpaka laki nane...Mitandao ya simu kuna wajuba wanavunja laini wakishasongesha.. Tanesco nyumba za kupanga wenye nyumba wataachiwa misala sana
SawaHili walishasema wanalifanyi kazi
Hili ndo la msingi TANESCO wachukue hii!!Wangefanya kwanza mtu ukinunua umeme unaingia moja kwa moja kwenye mita.