Hivi kwanini tangu kuanzishwa kwake, CHADEMA haitaki kabisaa kuwa na kiongozi mwandamizi mwanamke kamati kuu?

Hivi kwanini tangu kuanzishwa kwake, CHADEMA haitaki kabisaa kuwa na kiongozi mwandamizi mwanamke kamati kuu?

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Ni mfume dume au wanawake hawaaminiki nyani ya vyama vya siasa?

au muundo wake ni kwamba mwanamke marufuku kamati kuu Taifa?

Mungu Inusuru CHADEMA na mpasuko 🐒

Mungu Ibarki Tanzania
 
Ugali noma Sana...Anzia hapo Yu wapi KE ?
20241124_103800.jpg
 
Haya mambo ya kuwabeba ke kisa jinsia yao hayapaswi kuendekezwa wapambane kubebwa mpka lini tuache hii kasumba uongozi ni uwezo sio jinsia
 
tatizo la CHADEMA wana jina zuri, ila nembo haina msaada kwa taifa na jamii. mbaya zaidi wamejikita kwenye kuwapa kipaumbele vijana waliolukwa na akili. ni kama vile vijana wenye njaa wanaofanya kazi kwa malipo kwenye chama chao.

wasipoangalia kwenye safu nzima ya uongozi wa chadema hawatakua na vijana wenye busara na hoja zenye tija kwa taifa. watakua na vijana wa kukurupuka na kuongea chochote ili tu aonekana na wanaomlipa kufanya hivyo.
hivyo watajulikana ndani na nje kwasababu ya matukio lakini sio kwa uongozi bora.
 
Back
Top Bottom