Fanton Mahal
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 1,597
- 4,661
Akifungua duka atapata hasara huyoKitu chochote kufungua fungua sio salama... Kuna jamaa yetu alifungua zeep akapat gn... Akaja kufungua thread tena akapondwa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akifungua duka atapata hasara huyoKitu chochote kufungua fungua sio salama... Kuna jamaa yetu alifungua zeep akapat gn... Akaja kufungua thread tena akapondwa...
Endelea na story tamu hiyoTuache kuingilia watu katika majukumu... Sema sijaendelea ningesema kilichonikuta ila basi
Na hiiHiyo huruma yangu uliiona wapi
Macho yangu unayajua wewe
KukopwaAkifungua duka atapata hasara huyo
Na nani? Joined 2023 una mikwara kAma joined 2010Futa tuu nimeonywa 😂
😂We c umejoin 2022 October... Unanizid miezi kama 9 hiviNa nani? Joined 2023 una mikwara kAma joined 2010
Hii hapa screenshotNenda kwenye File -> settings ->appearance &behavior ->system settings -> http proxy then click kwenye sehemu iliyoandikwa no proxy then bonyeza OK kisha build project yako uone kama bado inaleta error icopy hiyo error ipest hapa tuione.
Nimejaribu quora., ruredet sijapata njia wanaelekeza hatua za ku install android studio na ku set hio proxy server. Au ku disable. Sasa mie nataka to remove the error ili iweze ku synchyonize na iweze ku acces internet.Nenda kwenye appropriate furums ukaulize haya maswali humu sio mahala sahihi. Go try stackoverflow site kule utakutana na programming geeks
Congratulations 👏
Aha. Mbona ndio kwanza nime instal hii studio, sijaweka udambwi wowote. Why do you congratulate me.I don't deserve !Congratulations 👏
Nipe deal niku prove wrong, tusiongelee maneno.Hivi kwa nini Tanzania hakuna programmers.
Karibia wote wanaojiita Senior programmers hamna kitu ni copy & Paste naukienda kwenye social media accounts zao wanavyotoa ushauri kwa junior developers utadhani wanajua kumbe hamna kitu.
Hakuna project yeyote ya programmer's & Developers wa Tz iliyofika mbali.Shida nn wakuu?
Mtaala ushaweka hio. Kazi kwako.Nataka nianzishe darasa la kuwafunza watoto computer programming from age 8 around darasa la 5 hiv. Kwa watoto Nitawapa kipaumbele wanaosoma englis medium angalau language itakua sio barrier kubwa sana
Achana na habar za mitaala, tanzania hii hakyanani ukiangaliansyllabus ya shule za watoto wetu, wallah utasema china tunaipiga gap kesho kutwa tu, NJOO KWENYE UTEKELEZAJI SASA ndio UTAJUI HUJUI..Mtaala ushaweka hio. Kazi kwako.
Settingnup enviroment kwa mara ya kwanza huwa challenging, just take your time and INTERNET bundle..maana hivyo tu ndio uchawiNimejaribu quora., ruredet sijapata njia wanaelekeza hatua za ku install android studio na ku set hio proxy server. Au ku disable. Sasa mie nataka to remove the error ili iweze ku synchyonize na iweze ku acces internet.
Who is a known host server, je ni my computer au ni voda au nani ? Nikipata hio server adress protocol nijaze kwenye proxy setting options ndio niondoe hio error. Computer inaniekekeza hivyo, sasa napataje hio server adress na port.
Nadhani hili ni jukwaaa sahihi kwa sababu ni tech platform.
Hamna kitu kinanikera kama kuset hizi IDE zifanye kazi. Maroroso kibao.
Nimeipenda hiiKwahiyo?, madaktari walioanzia utotoni ni wangapi na wamefanya nini, kama hicho ndo kipimo chabuprogrammer
Ina maana hujui kuwa asilimia 90 ya kila kitu Bongo na kila mtu ni magumashi? Bongo ujuzi unakuwa kwenye makaratasi tu. Ndiyo maana kila mtu anang'ang'ania kuonyesha amesoma. Majina mengi tu unakuta yanaanza na ''injinia'', ''Dr'' etc...Hivi kwa nini Tanzania hakuna programmers.
Karibia wote wanaojiita Senior programmers hamna kitu ni copy & Paste naukienda kwenye social media accounts zao wanavyotoa ushauri kwa junior developers utadhani wanajua kumbe hamna kitu.
Hakuna project yeyote ya programmer's & Developers wa Tz iliyofika mbali.Shida nn wakuu?
Amekuta anazeeka hana HELA kaamua alianzishe.Anadhani vijana watamuunga mkono. Vijana wa sasa wanataka matokeo hawataki longi longo.Unaleta longo longo kwenye matokeo ? Hili zee linanjaa.Sisi tunawaza TU!View attachment 3046855