Hauna internet kwa kuangalia icon ya mtandao hiyo chini kulia imepigwa 🚫️, gradle sync inaenda mtandaoni inadownload "dependencies" mbalimbali, hauwezi kufanya kazi ya Android bila mtandao so kamata bundle kwanza.
Kama unao mtandao yaanio unaweza kufungua site nyingine kwenye browser maana yake mtandao wako au Windows kuna tatizo kwa ujumla, hili sio tatizo la Android Studio ni tatizo la mtandao wako, so achana na AS fix internet yako kwanza, anza kwa kujaribu wifi source nyingine uone kama hiyo icon itaonyesha connection isiyo na matatizo. Pia ukiibonyeza nadhani itakupa diagnostics fulani.