Hivi kwanini Tanzania hakuna programmers

Nenda cive pale udom kuna watu wanajua aisee.

Ila hizi issue za programming zina hitaji fungu la pesa weka hela uone watu wanavopiga code utakubali.
 
Nenda kwenye File -> settings ->appearance &behavior ->system settings -> http proxy then click kwenye sehemu iliyoandikwa no proxy then bonyeza OK kisha build project yako uone kama bado inaleta error icopy hiyo error ipest hapa tuione.
Hii hapa screenshot
 
Nenda kwenye appropriate furums ukaulize haya maswali humu sio mahala sahihi. Go try stackoverflow site kule utakutana na programming geeks
Nimejaribu quora., ruredet sijapata njia wanaelekeza hatua za ku install android studio na ku set hio proxy server. Au ku disable. Sasa mie nataka to remove the error ili iweze ku synchyonize na iweze ku acces internet.
Who is a known host server, je ni my computer au ni voda au nani ? Nikipata hio server adress protocol nijaze kwenye proxy setting options ndio niondoe hio error. Computer inaniekekeza hivyo, sasa napataje hio server adress na port.
Nadhani hili ni jukwaaa sahihi kwa sababu ni tech platform.
Hamna kitu kinanikera kama kuset hizi IDE zifanye kazi. Maroroso kibao.
 
Nipe deal niku prove wrong, tusiongelee maneno.
 
Mtaala ushaweka hio. Kazi kwako.
Achana na habar za mitaala, tanzania hii hakyanani ukiangaliansyllabus ya shule za watoto wetu, wallah utasema china tunaipiga gap kesho kutwa tu, NJOO KWENYE UTEKELEZAJI SASA ndio UTAJUI HUJUI..
 
Settingnup enviroment kwa mara ya kwanza huwa challenging, just take your time and INTERNET bundle..maana hivyo tu ndio uchawi
 
Ina maana hujui kuwa asilimia 90 ya kila kitu Bongo na kila mtu ni magumashi? Bongo ujuzi unakuwa kwenye makaratasi tu. Ndiyo maana kila mtu anang'ang'ania kuonyesha amesoma. Majina mengi tu unakuta yanaanza na ''injinia'', ''Dr'' etc...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…