Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
Kwahiyo madoktori wa jf wamefikiwa au sioIna maana hujui kuwa asilimia 90 ya kila kitu Bongo na kila mtu ni magumashi? Bongo ujuzi unakuwa kwenye makaratasi tu. Ndiyo maana kila mtu anang'ang'ania kuonyesha amesoma. Majina mengi tu unakuta yanaanza na ''injinia'', ''Dr'' etc...
IDE ni maujinga flani hivi. Hayana formal procedure. Nshatumia kama siku mbili hivi, nimejaribu kila ushauri naona kenge tu. Labda nirudi kwenye eclipse ambayo nshaset environment na opi okay. Ningekuwa sijatumia muda wangu mwingi kusoma programming languages ningeacha nifanye vitu vingine.Settingnup enviroment kwa mara ya kwanza huwa challenging, just take your time and INTERNET bundle..maana hivyo tu ndio uchawi
Watu wanachukulia uprogrammer as spesho cake na wakati ni kazi kama zingine zinazosomewa na kujisomea.Nimeipenda hii
Acha kudharau taaluma za watu...Karibia wote wanaojiita Senior programmers hamna kitu ni copy & Paste naukienda kwenye social media accounts zao wanavyotoa ushauri kwa junior developers utadhani wanajua kumbe hamna kitu.
Msingi wa Udaktari unanzia primary school. Unaanza kujifunza mfumo wa mmen'genyo, mfumo wa damu, ubongo nk.Kwahiyo madoktori wa jf wamefikiwa au sio
Una point chiefMsingi wa Udaktati unanzia primary school. Unaanza kujifunza muimo wa mmen'genyo, mfumo wa damy, ubongo nk.
Yaani tumeoitiliza kayika kudharau vyetu. Shida iliopo ni kurundikiwa vitu vingi na kurudua rudia vitu bila sababu. Mfano sevondary 40% ni elimu ya msingi inayofundishwa kwa kingereza. Hivyo mtoto wa kitanzania anapoteza miaka mingi akisoma vitu vile vile.
Kwa ujimla elimu ya msingi ndio base ya elimu ya huko juu.
Wewe kijambio unakipumzisha muda gani uchoki kushinda jamiiforum?Endeleeni kunitabiria nitakuja kua mod wa jf!
Melo alione hili😂
[emoji3][emoji3][emoji3]Wewe kijambio unakipumzisha muda gani uchoki kushinda jamiiforum?
Programmers unawatafuta kwenye social media??? Nilidhani unaangalia kazi zao Git. Anyway kila mtu na mawazo yakeHivi kwa nini Tanzania hakuna programmers.
Karibia wote wanaojiita Senior programmers hamna kitu ni copy & Paste naukienda kwenye social media accounts zao wanavyotoa ushauri kwa junior developers utadhani wanajua kumbe hamna kitu.
Hakuna project yeyote ya programmer's & Developers wa Tz iliyofika mbali.Shida nn wakuu?
Fanya kuistart android studio yako kwa kutumia admin permission.
Halafu hii mada ya kuhusu programmers wao wameshaanza kuleta upupu wao wa kutongozana humuWewe kijambio unakipumzisha muda gani uchoki kushinda jamiiforum?
Usikate tamaa boss mimi mwenyewe najifunza flutter aisee changamoto mara visual studio code ina kaganda ganda but tunakomaa mpaka kielewekeIDE ni maujinga flani hivi. Hayana formal procedure. Nshatumia kama siku mbili hivi, nimejaribu kila ushauri naona kenge tu. Labda nirudi kwenye eclipse ambayo nshaset environment na opi okay. Ningekuwa sijatumia muda wangu mwingi kusoma programming languages ningeacha nifanye vitu vingine.
Vikolokolo kibao. Mara create path, sijui customize nini, mara upgrade hiki , mara update kile. Mara error fulani, mara error fulani, mara system iko vole. Is just a nightmare kila kukicha. Labda AI itaokoa jahazi.
Ngoja nikajifunze kutengeneza SOFA, ni paap sofa hio naweka store nasubir mteja.
Nakupongeza kwa kuwa nayo tu yaani, napenda sana watu wa programming na IT kwa ujumlaAha. Mbona ndio kwanza nime instal hii studio, sijaweka udambwi wowote. Why do you congratulate me.I don't deserve !
hata duniani ma programmer wale wa kizamani wanapotea sana. Siku hizi programming zinafanywa na AI.Hivi kwa nini Tanzania hakuna programmers.
Karibia wote wanaojiita Senior programmers hamna kitu ni copy & Paste naukienda kwenye social media accounts zao wanavyotoa ushauri kwa junior developers utadhani wanajua kumbe hamna kitu.
Hakuna project yeyote ya programmer's & Developers wa Tz iliyofika mbali.Shida nn wakuu?
hata duniani ma programmer wale wa kizamani wanapotea sana. Siku hizi programming zinafanywa na AI.
Hili siyo swali la kumuuliza programmer kama mm.Nahisi hata ww hamna kitu unachojua zaidi ya print ("hello world") 🤣🤣🤣🤣JITATHMINI.Wewe ni programmer?
Na je unamaanisha nini unapozungumzia projects??
Tuanzia hapo kwanza!!!
Acheni kujijaza ujinga kichwani.hzo kaz zao mbna hazionekani Tz au mnataka kusema wanafanya project za nje ya nchi🤣🤣....MJITATHMINIKabisa kaka, ni vile hajakutana nao tu
Hauna internet kwa kuangalia icon ya mtandao hiyo chini kulia imepigwa 🚫️, gradle sync inaenda mtandaoni inadownload "dependencies" mbalimbali, hauwezi kufanya kazi ya Android bila mtandao so kamata bundle kwanza.
Who is going to be admin. access ya net au wenyewe jetbrain wenye studio yao. Clear it.Fanya kuistart android studio yako kwa kutumia admin permission.
Let me try. Ntaleta mrejesho.Hauna internet kwa kuangalia icon ya mtandao hiyo chini kulia imepigwa 🚫️, gradle sync inaenda mtandaoni inadownload "dependencies" mbalimbali, hauwezi kufanya kazi ya Android bila mtandao so kamata bundle kwanza.
Kama unao mtandao yaanio unaweza kufungua site nyingine kwenye browser maana yake mtandao wako au Windows kuna tatizo kwa ujumla, hili sio tatizo la Android Studio ni tatizo la mtandao wako, so achana na AS fix internet yako kwanza, anza kwa kujaribu wifi source nyingine uone kama hiyo icon itaonyesha connection isiyo na matatizo. Pia ukiibonyeza nadhani itakupa diagnostics fulani.