Hivi kwanini Tanzania hakuna programmers

Una maana android Studio lazima mtu uwe online unapoitumia. Hakuna mambo naweza fanya off line?
 
Umesikia mashindano ya IT Projects ya US Embassy yanayotoa funding mpaka $250,000 kwa washindi?
 
Una maana android Studio lazima mtu uwe online unapoitumia. Hakuna mambo naweza fanya off line?
Kwa kiasi kikubwa haiwezekani, unapoanza Android project inasoma ile build.gradle file ambayo ina plugins na dependencies mbali mbali zile implementation...... hizi ni library ambazo zimeandikwa na watu wengine hazipo kwenye mashine yako so lazima ziwe downloaded pia gradle yenyewe inabidi iwe downloaded.

Sasa ikishazidownload mara ya kwanza zinakuwa saved kwenye mashine na kwa ujumla hazihitaji kuwa downloaded tena hadi utakapobadili hiyo build.gradle au ufanye clear cache.
 
Sababu ya kijinga kweli
 
Nianze tu kwa kusema kwamba HUNA AKILI

Pia huna unacho jua kwenye Tech industry,
Unataka developer awe na project iliyo fika mbali kama wapi , kwa support ya nani, kwa miundo mbinu ipi ? Ya nchi Gani ?

Wewe umewahi saport startup ye tech ipi ambayo ilifelishwa na developer

Mataifa yote na project yoyote wanao peleka project mbele ni project manager , marketing managers , na team ya nje kabisa ya developer including government...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…