Social maniac
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 357
- 428
Ni utoto tu, kutafuta umaarafu wa mitandaoni ambao hauna tijaSijawahi kuona mtu finyu wa mawazo kama huyu jamaa.
Yani anataka kile anachokifanya JF na wengine wakifanye?
Mwanaume amekalia maneno ya kike tu..hizo comment amezifanyia nini baada ya kuzipata?
nini maana ya social media?Na wewe umefuata nini humu kama sio kuchunguza maisha ya watu?
Sio kwamba alikua anamsanifu ile kusema atatoa ng'ombe siku ya harusiWanamuonea kijicho na kumchukia pia.
H-baba kwa sasa amejirudi kaanza kumletea shobo mondi
Nafasi aliyopo Mondi kuna Wasanii wangeipata, mama yangu weee.Kuna siku tulipata kazi kwa Diamond Madale, nilikua busy akaenda jamaa yangu. Ndo nilipokubali jamaa hana shida, mtu poa nahisi hajapata kutokea.
Mimi sio shabiki yake, nakiri Diamond mtu poa sana.
Mondi Hommie sana ila watu hawajuiKuna siku tulipata kazi kwa Diamond Madale, nilikua busy akaenda jamaa yangu. Ndo nilipokubali jamaa hana shida, mtu poa nahisi hajapata kutokea.
Mimi sio shabiki yake, nakiri Diamond mtu poa sana.
Mondi ni mtu wa watu sana.Nafasi aliyopo Mondi kuna Wasanii wangeipata, mama yangu weee.
Huo ndio ukweli labda nidanganye.
Wamakonde na Wazaramo ni kabila za watu wenye roho za kwa nini sana
Acha useingereyma wewe,unataka kuolewa na wamakonde nini? ShubamitHuo ndio ukweli labda nidanganye.
Wamakonde na Wazaramo ni kabila za watu wenye roho za kwa nini sana
Duh zawadi kutoka kwa Mungu ???Mungu huyu huyu alieumba mbingu na ardhi au?Diamond ni zawadi straight kutoka kwa Mungu kwa watanzania. kila mtu anajua revolution alizofanya kwenye muziki huu, siku akifa atazikwa na wengi sana pia hata hao wanaomchukia watajuta na kulia kimoyomoyo.
Duh zawadi kutoka kwa Mungu ???Mungu huyu huyu alieumba mbingu na ardhi au?