Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,773
- 51,429
- Thread starter
- #181
Hapana..nisingeweza kufanya hivyo kabisa..kumshtaki Kwa manager ni mwanzo wa kumletea misukosuko kazini..sipendi kuwa sababu ya mtu kupata matatizo.hujwita menega kweli??
Nilimwita nikamwambia 123...nikaondoka.
Ananafasi ya kuchangua kiyafanyia kazi yakamsaidia au akayaacha yakamsaidia pia.maisha ni kuchagua