Hivi kwanini ukienda bar na mtu wa jinsia ya tofauti(me)unapata huduma mbovu?

Mbona hata humu jf hiyo tabia ipo!
Mods wakike wakijua unamchumba nyuzi zako zitafutwa hovyo muda mwengine kuzi mix.. unaweza kuta komenti yako ya mapenzi kwenye uzi wa mradi wa maji!,hujui imefikaje..[emoji23]
"...unaweza kuta komenti yako ya mapenzi kwenye uzi wa mradi wa maji!,hujui imefikaje.."
IMG_20210914_111155.jpg
 
Siajabu Kuna mods wana aidi za pembeni🙌🙌🙌😂😂😂...
Mbona hata humu jf hiyo tabia ipo!
Mods wakike wakijua unamchumba nyuzi zako zitafutwa hovyo muda mwengine kuzi mix.. unaweza kuta komenti yako ya mapenzi kwenye uzi wa mradi wa maji!,hujui imefikaje..😂
 
Hii tabia ipo Jf , post za jinsi ile zinakuwa na comment na wale zaidi.
Sisi tusio na jinsia wanapita kusoma tu comment wala hakuna like [emoji851][emoji851]
 
Hakika leo nimekwazika kiwango cha juu mno..sijawahi kuchukia Na sipendagi kuchukia kiasi hiki cha leo
Pia ukienda na demu mkali sehemu ambako wanahudumia wahudumu wa kiume utapata huduma za kiwango cha juu mpk unaweza pata hofu.Mpk utasikia sweetie anasema jamani huyu kaka mkarimu sana na anahudumia vizuri,mwisho wa siku anakwambia husisahau kumwachia tip [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],sidhani km hiyo sehemu itakupa amani tena. Tuendelee kuhudumiwa na hao acha watupe huduma hovyo, wanawake si watu.Demu wako anabembelezwa kuliko unavofanya wewe, hatari sana

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
 
Hii tabia ipo Jf , post za jinsi ile zinakuwa na comment na wale zaidi.
Sisi tusio na jinsia wanapita kusoma tu comment wala hakuna like [emoji851][emoji851]
Ohooooo....
 
Pia ukienda na demu mkali sehemu ambako wanahudumia wahudumu wa kiume utapata huduma za kiwango cha juu mpk unaweza pata hofu.Mpk utasikia sweetie anasema jamani huyu kaka mkarimu sana na anahudumia vizuri,mwisho wa siku anakwambia husisahau kumwachia tip [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],sidhani km hiyo sehemu itakupa amani tena. Tuendelee kuhudumiwa na hao acha watupe huduma hovyo, wanawake si watu.Demu wako anabembelezwa kuliko unavofanya wewe, hatari sana

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
Yap hata mimi hiyo sehemu Siwezi acha enda 🤣

Hivi kumbe Na ninyi mnakuwaga Na wivu ehee aise..
 
Back
Top Bottom