Hapana..nisingeweza kufanya hivyo kabisa..kumshtaki Kwa manager ni mwanzo wa kumletea misukosuko kazini..sipendi kuwa sababu ya mtu kupata matatizo.
Nilimwita nikamwambia 123...nikaondoka.
Ananafasi ya kuchangua kiyafanyia kazi yakamsaidia au akayaacha yakamsaidia pia.maisha ni kuchagua