sameer0220
Member
- Nov 10, 2024
- 21
- 37
Yaani ni kama vile wao hawakosei na ukiwakosoa utashambuliwa sana humu JF kuna muda tuwe na fikra huru na sio za uchama.
Yaani ni kama vile wao hawakosea na ukiwakosoa utashambuliwa sana humu JF kuna muda tuwe na fikra huru na sio za uchama.
Naona misosi ya viongozi
Kifupi ukitaka kuonesha una akili ndogo na usiyejua kitu ndio unaenda Chadema. Kwasababu Chadema HAKUNA mtu mwenye akili timamu.Yaani ni kama vile wao hawakosea na ukiwakosoa utashambuliwa sana humu JF kuna muda tuwe na fikra huru na sio za uchama.
Ni ujinga kwa hapa JFYaani ni kama vile wao hawakosea na ukiwakosoa utashambuliwa sana humu JF kuna muda tuwe na fikra huru na sio za uchama.
Kati ya ccm na chadema ni wapi kuna wajinga wengi?Kifupi ukitaka kuonesha una akili ndogo na usiyejua kitu ndio unaenda Chadema. Kwasababu Chadema HAKUNA mtu mwenye akili timamu.
Sio Kweli mkuu,hao ni watu wanaojitambua kiukweli hata Lukas mwashambwa anajua Hilo basi tuu anajitoa ufahamu! Mfano,kuwa na wagombea huru Bila vyama Huoni kuwa ni jambo jema?Makofi Bungeni hata ujinga !Ila una hoja usikilizwe.Yaani ni kama vile wao hawakosea na ukiwakosoa utashambuliwa sana humu JF kuna muda tuwe na fikra huru na sio za uchama.
Duuh Kweli noma Twaweza!
CCM huwa wana ahirisha kufikiri kwa nafsi a.k.a kujizima data wanatumia mfumo wa unyumbu wa kisiasa, (self absorbed group)Yaani ni kama vile wao hawakosei na ukiwakosoa utashambuliwa sana humu JF kuna muda tuwe na fikra huru na sio za uchama.
Wewe mwenyewe ukisikiliz hoja zao unajiweka kundi gani?Yaani ni kama vile wao hawakosei na ukiwakosoa utashambuliwa sana humu JF kuna muda tuwe na fikra huru na sio za uchama.
Mimi sielewi kabisa mtu unawezaje kuwa na akili tumamu huku unaisapoti CCM kindakindaki kabisa! Lazima kuna uzuzu tu kwa watu kama hao.Yaani ni kama vile wao hawakosei na ukiwakosoa utashambuliwa sana humu JF kuna muda tuwe na fikra huru na sio za uchama.
Compare uwezo wa kufikiri wa muchungachi wakati ni mbunge wa Chadema na sasa hivi.Yaani ni kama vile wao hawakosei na ukiwakosoa utashambuliwa sana humu JF kuna muda tuwe na fikra huru na sio za uchama.
Compare and contrastCompare uwezo wa kufikiri wa muchungachi wakati ni mbunge wa Chadema na sasa hivi.
Compare uwezo wa mzee H alipokua Chadema na tangu ajiunge kwingine.
HahahaUsilalamike, HAO CHADOMO wapokee watakavyokuja..
mbona hao ni vilaza?
Vijana kama hawa inabidi tuwawekee vielelezo halali ili wajifunzeD
Duuh Kweli noma Twaweza!