sameer0220
Member
- Nov 10, 2024
- 21
- 37
- Thread starter
- #21
Sihitaji kumsikiliza mtu ili kua na kundi na ndio maana nimesema kwanini watu wasiwe na fikra huru mana ukiwa huru hutotetea ujinga ila ukichagua chama Automatically ni kama umejiweka fingerprint ya lazima ukisapoti kwa chochote kileWewe mwenyewe ukisikiliz hoja zao unajiweka kundi gani?