Kwanza unamaanisha nini ukisema Sapoti ?
Sababu kama ni financially kila Mtanzania / Mlipa Kodi Anasapoti hivi vyama (atake asitake) kwa kutumia Ruzuku yake...
Lakini kama ni kwa fikra / itikadi inategemea nani anasimamia nini ila kwa sasa ni kama vyama vyote vina itikadi zilezile (tofauti majina)
Kama unafuata watu kwamba hawa huenda ni wezi wale sio wezi (sidhani kama kuna chama kwenye Ilani yake kinasema tukaibe)
In short dunia ya sasa (unless vyama vianze kujitenga kwa Sera na Ideology tofauti tofauti) hivi vyama ni kama Slesi za Mikate (wote ni walewale) ni kwamba tu kimoja ndio kipo High Table....; Ingawa kwa mustakabali wa Nchi / Fairness ni vema CCM ikavunjika vipande kama Nane, bila hivyo nguvu ya kiuchumi (siasa za sasa ni pesa) ni vigumu kwa CCM kupotea hata akifa leo atakuwa reincarnated keshokutwa (unless wavunjike kama KANU na kugawana Meza)