Top Gun
Member
- Dec 11, 2024
- 49
- 171
Hawa jamaa wako kimya na yanayoendelea syria angali washia na wakristo kuulia ila wako bize kutafuta hadi sisimizi alieingia gaza kutoka Israel.
Hadi leo hawajakamata hamas kwa ukatili walioufanya ila wanahangaika na Israel aliyejibu mashambulizi.
Eli Cohen Judah Tribe