Hivi kwanini uongozi wa TFF wanampiga vita Wambura?

Kifaru86

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2017
Posts
1,734
Reaction score
3,822
Nimejikuta najiuliza hivi ni kwanini uongozi wa TFF wanampiga vita wambura kiasi cha kwamba wamempiga vita kujihusisha na maswala ya mpira mpka wakamfungia.

Kitu ambacho cha kushangaza kama wambura ni mtuhumiwa ni kwanini asipelekwe mahakamani wanabaki kumfungiaaa.

Mnaofahamu zaidi hebu tuambieni kwanini TFF wanampinga sana wambura
 
Kama kuna sababu ya kupigwa vita yeye mwenyewe Wambura atakuwa anaijua. Na kama ipo ni yeye anapaswa kuiweka wazi. Kwa vile hajaiweka wazi basi tunaamini haipo.

FM academia walishaimba ukipenda penda shilingi utajikuta unapokea na shilingi za jinamizi.
 
Nimejikuta najiuliza hivi ni kwanini uongozi wa TFF wanampiga vita wambura kiasi cha kwamba wamempiga vita kujihusisha na maswala ya mpira mpka wakamfungia.

Kitu ambacho cha kushangaza kama wambura ni mtuhumiwa ni kwanini asipelekwe mahakamani wanabaki kumfungiaaa.

Mnaofahamu zaidi hebu tuambieni kwanini TFF wanampinga sana wambura
Kamaaa wewee mleta mada hujuii nani afahamu mpigie wamburawako
 
Tatizo tff imejaa wapigaji, wambura kwa cheo chake ndiye mwenyekiti wa kamati ya fedha na mipango wa tff hivyo akawa anawabania wapigaji kuchota pesa za tff ila kwa kuwa wao ni wengi wakakaa kama kamati wakamuundia fitina wakammaliza. So, kwa kifupi tatizo la wambura ni uadilifu wake ndio maana wamemtimua bila kumpa haki ya kusikilizwa na wanazingua hata kusikiliza rufaa yake. Uliona wapi mtu mwenye cheo cha makamu wa rais anatimulia kirahisi rahisi hivyo bila kusikilizwa
 
Timu mpya ya TFF inafahamu kwamba pale TFF ni "shamba la Bibi"; chimbo la mafeza kama BITCOIN au ONECOIN vile, sasa ili wavune vizuri mpunga sharti wamuondoe RW maana wanamjua ni mkali na mzoefu zaidi yao pale tff, hawana nia njema ya kuendeleza mpira wetu ndio maana unaona hata kesi dhidi ya RW wameshindwa kuijenga kimkakati iwe "water tight", badala yake wanafanya figisufigisu tupu!!! RW atawabwaga, ni mzoefu zaidi.
 
Nimejikuta najiuliza hivi ni kwanini uongozi wa TFF wanampiga vita wambura kiasi cha kwamba wamempiga vita kujihusisha na maswala ya mpira mpka wakamfungia.

Kitu ambacho cha kushangaza kama wambura ni mtuhumiwa ni kwanini asipelekwe mahakamani wanabaki kumfungiaaa.

Mnaofahamu zaidi hebu tuambieni kwanini TFF wanampinga sana wambura
Mambo ya mpira hayaendi mahakamani.Wambura mpigaji sana anajulikana akafanye kazi nyingine.Kwa nini wambura hatoi maelezo ya juu ile kampuni iliyochota mpunga TFF?
 
Unavyomfungia mwenzio maisha ina maana wewe utakaa maisha hapo TFF mie nadhani wangemfungia kwa kipindi chao tu
 
Mambo ya mpira hayaendi mahakamani.Wambura mpigaji sana anajulikana akafanye kazi nyingine.Kwa nini wambura hatoi maelezo ya juu ile kampuni iliyochota mpunga TFF?
Tatizo wamemuhukum bila kufuata taratibu,TFF wao wenyewe ndio wameplay role ya kuverify stabadhi (Hii kazi ni ya TAKUKURU ) ,kamapuni ya Jack ambao wanadai Wambura amefoji hizo stakabadhi hawajapewa taarifa siku ya hukumu wakatoe ushahidi wao na wala hizo stakabdhi zilizofojiwa hawajaziona na Wambura mwenyewe hajapewa nafasi ya kujitetea.Sasa ww umeona wapi hukumu kama hii duniani zaid ya Tanzania,yaani kile kikao hakina tofauti na mkutano wa WALEVI,upuuzi mtupu alafu ndio mnataka mpige hatua kisoka ,tutaendelea kuporomoka.Yaani ni sawa mtihani utunge ww ,majibu uandae ww na baadaye mtihani huo huo unaufanya wewe na kusahisha wewe . Unamlaumu Wambura wakati anadai haki yake.
 
Tatizo tff imejaa wapigaji, wambura kwa cheo chake ndiye mwenyekiti wa kamati ya fedha na mipango wa tff hivyo akawa anawabania wapigaji kuchota pesa za tff ila kwa kuwa wao ni wengi wakakaa kama kamati wakamuundia fitina wakammaliza. So, kwa kifupi tatizo la wambura ni uadilifu wake ndio maana wamemtimua bila kumpa haki ya kusikilizwa na wanazingua hata kusikiliza rufaa yake. Uliona wapi mtu mwenye cheo cha makamu wa rais anatimulia kirahisi rahisi hivyo bila kusikilizwa

1. Muundo wa uongozi/utawala wa TFF ni kwa mujibu wa FIFA au kuna mambo ni ya Tanzania? kama ndivyo, inakuwaje makamu wa rais wa TFF awe mwenyekiti wa moja ya kamati za ufundi: fedha na mipango, nafasi ambayo pia anaweza kukaimu nafasi ya raisi ambaye ana maamuzi ambayo anaweza kuwa ameyatengeneza mwenyewe kutoka kwenye kamati husika? yaani kutokuwepo kwa kutotegemeana kwa maamuzi?

2. Hivi hatujiulizi miaka tangu miaka 20 iliyopita unakuta a good set of individuals is going around the same positions in an organization. Ina maana for the past 20 years, Tanzania imeshindwa kupata watu au kwa mfumo au kwa kukuzwa, ambao wangeweza kuwabadili hawa? hivi huyu hakuwepo tangu enzi za Ndolanga na Rage?

3. Possibly, anahangaika na fraternity ambayo haelewi politics zake mbona anahangaika mara Simba, wanamnyima, mara TFF, wanamkorofisha if at all those allegations are true or not true?.

4. Anapigania kitu gani kwenye soka ambacho hata wasio karibu sana na vyombo hivyo wanaweza kumtetea kwa maana ya kutueleza ni kitu gani anakiweza zaidi ya wenzie ktk kuongoza: ni michezo? au mpira specifically? au kudhibiti mipango na uchumi?. Hii ni kwa maana ya taaluma yake kwenye uongozi, michezo na uchumi na mipango na any appreciable past performance!

5. Otherwise tunamtakia maisha mema na ikiwezekana shitaka lake ashinde ila siyo lazima aende tena TFF, Simba n.k. anaweza kuanzisha academy ataweza kuwa prove wrong wanaomsumbua.
 
Tatizo tff imejaa wapigaji, wambura kwa cheo chake ndiye mwenyekiti wa kamati ya fedha na mipango wa tff hivyo akawa anawabania wapigaji kuchota pesa za tff ila kwa kuwa wao ni wengi wakakaa kama kamati wakamuundia fitina wakammaliza. So, kwa kifupi tatizo la wambura ni uadilifu wake ndio maana wamemtimua bila kumpa haki ya kusikilizwa na wanazingua hata kusikiliza rufaa yake. Uliona wapi mtu mwenye cheo cha makamu wa rais anatimulia kirahisi rahisi hivyo bila kusikilizwa
Wambura mwizi mzoefu awabanie wezi wenzie? Sounds funny!
 
Tatizo tff imejaa wapigaji, wambura kwa cheo chake ndiye mwenyekiti wa kamati ya fedha na mipango wa tff hivyo akawa anawabania wapigaji kuchota pesa za tff ila kwa kuwa wao ni wengi wakakaa kama kamati wakamuundia fitina wakammaliza. So, kwa kifupi tatizo la wambura ni uadilifu wake ndio maana wamemtimua bila kumpa haki ya kusikilizwa na wanazingua hata kusikiliza rufaa yake. Uliona wapi mtu mwenye cheo cha makamu wa rais anatimulia kirahisi rahisi hivyo bila kusikilizwa
Alikuwa anataka apige mwenyewe tu............
 
Mambo ya mpira hayaendi mahakamani.Wambura mpigaji sana anajulikana akafanye kazi nyingine.Kwa nini wambura hatoi maelezo ya juu ile kampuni iliyochota mpunga TFF?
Vipi ya Malinzi,Kaburu,Aveva sio ya mpira? Mbona mnayapeleka mahakamani? Mtasema money laundering! RMW Mzee wa Simba ukawa hatakiwi tff
 
Back
Top Bottom