Hivi kwanini vikao vya kifamilia vya misiba ya kibongo lazima mizozano

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,030
Reaction score
61,298
Kuna kitu huwa sikielewi labda kwa sababu bado mdogo ila baada ya kuzika kuna vile vikao vinafanyika wanandugu kufahamiana ila naonaga vyote

NI mwendo wa Ku change ana Tu yaani fujofujo,kutoelewana,kurushiana maneno,kupeana lawama.

Je ndo mambo ya desturi na Mila lazima iwe hivo au lengo la huo ukorofi NI nini?
 
Tatizo la kwanza maneno na matabaka kwenye familia,

Kingine unakuta mtu anayehangaika na mzazi au wazazi ni mmoja, sasa akifa utasikia ooh Nina wasiwasi na baba alivyo kufa, mara hakuwa Hali vzr,,

Hapo unategemea nn hata wewe uambiwe hivyo?

Kingine ni issue ya Mali,,
 
Sio misiba tu, hata kuhudumia mgonjwa serious lazima lawama, masengenyo, mitifuano, n.k hii ndio Afrika
 
Kuna kitu huwa sikielewi labda kwa sababu bado mdogo ila baada ya kuzika kuna vile vikao vinafanyika wanandugu kufahamiana ila naonaga vyote

NI mwendo wa Ku change ana Tu yaani fujofujo,kutoelewana,kurushiana maneno,kupeana lawama.

Je ndo mambo ya desturi na Mila lazima iwe hivo au lengo la huo ukorofi NI nini?
Umaskini.
 
Back
Top Bottom