ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Msiba wa maskini mambo huwa shwariUmasikini ni laana
Hio tamaduni kumbe NI mambo ya urithi ndo yanasababisha?Umasikini ni laana
Ila vingine sio hoja za mali tangandugu unakuta watu tu wa ukoo kufahamiana ila wanakuwa wamechafukwaUmasikini ni laana
Umaskini.Kuna kitu huwa sikielewi labda kwa sababu bado mdogo ila baada ya kuzika kuna vile vikao vinafanyika wanandugu kufahamiana ila naonaga vyote
NI mwendo wa Ku change ana Tu yaani fujofujo,kutoelewana,kurushiana maneno,kupeana lawama.
Je ndo mambo ya desturi na Mila lazima iwe hivo au lengo la huo ukorofi NI nini?