mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Sadaka zinatolewa risiti 😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OK! This is below their dignity! Acha matapeli wa dini waende. mtu mwenye Roho Mtakatifu hawezi kwenda huko!Uzinduzi wa SGR
nte for a good analysis!Ili uwe padre unatakiwa uwe msomi haswahaswa.
Ila sisi walutheri unaeza ukaunga unga uinjilisti ukaibukia uchungaji, ushehe kikubwa elimu ya madrasatul, walokole ni uwezo wako wa kuhubiri miujiza.
Baada ya hayo lazima kuna kundi hapo litakuwa linaongozwa kijinga jinga.
Chadema kuaminika itachukua dahali na dahali!Au hawakualikwa, na kwanini hawakualikwa?
Je kuna ulazima wa kushirikisha watu wa Dini kwenye mambo kama haya, Kwanini?
View attachment 3058599View attachment 3058600View attachment 3058601
huiamini wewe tuChadema kuaminika itachukua dahali na dahali!
Kuna makumi kama mimi!huiamini wewe tu