Hivi kwanini wahitimu wa Udom wanapata ajira sana

Watanzania tuache zile zama za ujinga eti chuo cha udom cha kata,
Kwani chuo cha Kata hakifundishi wangap msesoma shule za Kata na mmefaulu vzuri
Kuna ajabu gani mtu kusoma chuo cha kata

Dhana ya GPA pia sio kigezo maisha saiz akili yako tu na ufanisi wako kuna watu wana Big GPA na bado wapo mtaani miaka mingi tu

Wakuu dhana ya GPA kubwa au ndogo haina maana chamsingi ufanisi na ubunifu tu
 
NA WEWE PIA UTAKUWA UMESOMA UDOM
 
uko sahh
 
Inasikitisha ukipitia hizi comment za wanaojiita wasomi [emoji23][emoji23]........fact ni kwamba usome UDSM, UDOM, SAUT, MZUMBE mwisho wa siku mtakutana kwenye interviews apoo ndo pakuonyeshana huu ubabe
 
Nimesikia hata mwalimu frank wa mbeya day sec. ni mojawapo ya vipanga wa udsm.
 
Mimi nadhani... Ukiwa kama Graduate hupaswi kuamini katika upendeleo.... Mimi nadhani Jina la chuo haliwezi kumfanya mwajiri akufanyie consideration badala yake... Ni namna unavyoweza kupambanua Mambo katika Interview... mfano Mimi nipo Azam ICD... Pale kwetu Huwa tunaamini vijana waliosoma NIT au TIA wapo vizuri especially tokea wakiwa field mpka kwenye Interviews .... Wanafunzi wa UDSM... wakijaga kwenye field... Wanakuwaga shallow Sana!!!...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…