Hivi kwanini Wakoloni walisema utamaduni wetu wa Afrika ni Wakishenzi?

Mtambachuo

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2023
Posts
1,907
Reaction score
3,560
Wazungu/ Wakoloni walisema tamaduni zetu niza kishenzi ndio maana
mpaka leo watu wengi hatupendi sana tamaduni zetu za asili mfano

lugha, majina, goma na kadhalika. Unafikiri sababu ni ipi wakoloni kusema
hivyo.?
 
Kwa sababu kipindi wao wametoka maili Elfu na kuja kutafuta mali,walipofika sisi tukawapa Mali Bure.
Imagine midogi hii,kampuni Moja inapata 84%,nchi nzima yenye watu milioni 70,inapata 16%----Je!,sisi so washenzi?
 
We jamaa unapenda kutetea ushoga we ni shoga?
This is personal atack, pitia hizi;

Wazungu/ Wakoloni walisema tamaduni zetu niza kishenzi ndio maana
mpaka leo watu wengi hatupendi sana tamaduni zetu za asili mfano

lugha, majina, goma na kadhalika. Unafikiri sababu ni ipi wakoloni kusema
hivyo.?
Ukeketaji, wake wengi, imani potofu, nk ni ushenzi mkubwa!
 
Wazungu/ Wakoloni walisema tamaduni zetu niza kishenzi ndio maana
mpaka leo watu wengi hatupendi sana tamaduni zetu za asili mfano

lugha, majina, goma na kadhalika. Unafikiri sababu ni ipi wakoloni kusema
hivyo.?
Sisi ni washenzi kweli.
Tungekuwa wastaarabu tusingekuwa mashabiki wa porn music za wasanii kama Diamond na wasafi.
Ushenzi ni kufurahia ushetani hadharani.
Wengi mnajitadai kuchukia matendo ya uasherati ila nyie ndio supporters wa wale wanaoeneza matendo hayo kwa njia ya muziki.
 
Back
Top Bottom