Zabron Hamis
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 7,093
- 11,377
Kwasababu wanajua kabisa baada ya kuupokea utamaduni wao, tutaukataa utamaduni wetu. Na "mkataa kwao ni mtumwa." huoni tunavyohangaika kupondeana kisa hatujui kizungu wakati Urusi hata Rais wao huwezi kumkuta anaongeq kingereza japo najua kabisa anaifahamu hiyo lughaWazungu/ Wakoloni walisema tamaduni zetu niza kishenzi ndio maana
mpaka leo watu wengi hatupendi sana tamaduni zetu za asili mfano
lugha, majina, goma na kadhalika. Unafikiri sababu ni ipi wakoloni kusema
hivyo.?